Tanzania mpya

Tanzania mpya ni mjumuisho wa huduma ambazo zinalenga kuboresha mifumo ya makampuni na biashara ili kuongeza uzalishaji na kipato

Web Development

Tunakuwezesha kutumia internet kutangaza kampuni au biashara yako ili iweze kufahamika zaidi na kukua

Fahamu zaidi >

Android Apps

Tumia simu za mkononi kuwafikia zaidi wateja na kupata faida zaidi kupitia matangazo

Fahamu zaidi >

Cloud Services

Hapana, sio mawingu! huu ni mfumo unaokuwezesha kutunza, kutathmini na kupata taarifa zako popote

Fahamu zaidi >

Online marketing

Tunakutangaza kwenye mitandao upate kutambulika zaidi na soko la mtandaoni

Fahamu zaidi >

Copyright @2019 Razaq Innovations SS